Habari Leo News

TBS yanogesha mambo ujenzi maabara Dodoma, Mwanza

DODOMA; Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Dk Ashura Katunzi amesema katika kutekeleza azma ya Serikali kuhakikisha wananchi wanapata huduma kwa ukaribu na kupunguza gharama, shirika hilo linaendekea...

27 minutes ago


Taifa Leo News

Raila akutana na Rais wa Somaliland aliyetengwa na maafisa wa Mudavadi

BAADA ya kuepukwa wiki jana na maafisa wa Wizara ya Masuala ya Kigeni wa Kenya, Rais wa jimbo la Somaliland Abdirahman Mohamed Abdillahi Jumanne, Juni 3, 2025, alipata fursa ya...

38 minutes ago


Taifa Leo News

Mwanaharakati Rose Njeri ashtakiwa kukwamisha mtandao wa Bunge

MWANAHARAKATI Rose Njeri ameshtakiwa kukwamisha mtandao wa Bunge na kusababisha shughuli za kamati ya Bunge kuhusu Fedha kutatizika. Kulingana na hati ya mashtaka alipofikishwa mahakamani Jumanne Juni 3, 2025, Bi...

57 minutes ago


Habari Leo News

Wabunge wapitisha bajeti Wizara ya Afya

DODOMA; WABUNGE leo Juni 3, 2025 wamepitisha bajeti ya Wizara ya Afya yenye makadirio ya Sh 1,618,191,235,000.00, ili kuweza kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025/26. Jana Waziri wa...

1 hour ago


Habari Leo News

Sheria Bima ya Afya kwa wote kuanza 2025/26

DODOMA; WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema utekelezaji wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote utaanza kwenye bajeti ya mwaka 2025/26 na kwamba itakuja na vifurushi vyake. Akifanya majumuisho...

1 hour ago


Habari Leo News

‘Tutapambana kuhakikisha mifumo hospitali isomane’

WAZIRI wa Afya Jenista Mhagama, amesema wizara yake itapambana kuhakikisha mifumo ya vipimo vinavyofanywa kwa wagonjwa visomane katika hospitali zote nchini. – Akifanya majumuisho kwenye hoja mbalimbali za wabunge waliochangia...

1 hour ago


Mwanaspoti Sports

Yanga, Bodi ya Ligi waachana njia panda!

Licha ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) kutangaza tarehe mpya ya kuchezwa mechi ya marudiano kati ya Yanga na Simba, hali ya sintofahamu imeendelea kutanda upande wa Jangwani kuhusu...

1 hour ago


Daily News General

EACOP project reaches 60 percent completion

TANGA: THE implementation of the 1,443-kilometre East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project has reached 60 percent completion, according to the latest report. So far, the lucrative project, poised to...

1 hour ago


Daily News General

Ghana, Nigeria delegates hails Tanzania’s legal system

DODOMA: DELEGATES from the High Courts of Ghana and Nigeria have praised Tanzania’s legal system for enabling the Office of the Attorney General (AG), the Director of Public Prosecutions, and...

1 hour ago


Daily News General

Bill Gates to give most of $200 billion fund to Africa

USA: US billionaire Bill Gates on Tuesday announced that the majority of his philanthropic Gates Foundation’s $200 billion (€175 billion) endowment will be spent in Africa over the next two...

2 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment