Mwanaspoti Sports

Sasii afungiwa miezi sita, Fadlu, Sowah nao yawakuta

Mwamuzi Herry Sasii amekumbana na adhabu Kali, baada ya kufungiwa miezi sita kwa makosa ya kushindwa kutafsiri Sheria kwenye mchezo kati ya Simba na Singida Black Stars.

13 hours ago


Vanguard News Sports

Barcelona eye Ademola Lookman as summer transfer target

Ademola Lookman has emerged as a potential transfer target for Barcelona, as the Spanish giants continue their search for a left winger this summer. The post Barcelona eye Ademola Lookman...

16 hours ago


Vanguard News Sports

Saudis use AI, drones and thousands of cameras to keep hajj pilgrims safe

It is all part of the tech arsenal that Saudi Arabia is deploying as 1.4 million faithful from across the globe descend on Mecca and its surrounds. The post Saudis...

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Kocha wa Yanga afunguka kuhusu Dabi

WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa...

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Simba yagusa dili la Yanga

DIRISHA kubwa la usajili wa Ligi Kuu Bara linanukia na Mwanaspoti linafahamu kuna kitu kinaendelea baina ya Simba na Yanga nchini DR Congo.

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Kilichoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama.

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Kinachoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama.

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa

MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo...

16 hours ago


Mwanaspoti Sports

Ouma aanza tambo mapema fainali FA

BAADA ya kuifanikisha Singida Black Stars kutinga fainali ya Kombe la FA kocha wa timu hiyo Mkenya, David Ouma ameweka wazi kuwa anafurahia mafaniko ya soka ambayo anaendelea kupata nchini.

17 hours ago


Mwanaspoti Sports

Mwalyanzi: Moto wa Mbeya City hauzimiki

KIUNGO mshambuliaji wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amesema ubora waliouonyesha katika Ligi ya Championship hautazimika kwani wamepania kuendelea nao hata kwenye Ligi Kuu Bara kutokana na uwekezaji na umoja uliopo...

18 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment