Kilichoendelea kwa Chama, Yanga hiki hapa

Mwanaspoti
Published: Jun 04, 2025 15:00:38 EAT   |  Sports

MASHABIKI wa Yanga kwa sasa wanasikilizia ishu ya Dabi ya Kariakoo kama itapigwa au la, lakini kuna kitu kinaendelea ndani ya klabu hiyo kuhusu kiungo mshambuliaji, Clatous Chama.