Ishu ya Azam, Manula yafikia hapa

Mwanaspoti
Published: Jun 04, 2025 14:54:24 EAT   |  Sports

MABOSI wa Azam FC wameanza mipango ya kuimarisha kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao ikielezwa ipo hatua ya mwisho kumsainisha mkataba, kipa wa Aishi Manula, sambamba na kumbeba kiungo mahiri aliyekuwa akicheza soka la kulipwa huko Misri.