TFF: Hakuna atakayesajiliwa bila kupima moyo

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu wa 2025/26 hakuna mchezaji ambaye atasajiliwa kucheza Ligi Kuu Bara au Ligi ya Championship bila kufanyiwa uchunguzi wa afya ya moyo.