International Highlights Show All 
Taifa Leo News

Simulizi ya uchungu ya Albert Ojwang ambaye mauaji yake yamezua ghadhabu

"YUKO salama mikononi mwetu”. Haya ndiyo maneno ya mwisho familia ya Albert Omondi Ojwang’ ilisikia kutoka kwa afisa wa polisi anayehudumu katika Kituo cha Polisi cha Mawego, Rachuonyo Kaskazini Jumamosi...

16 minutes ago


Taifa Leo News

Idara yachukua hatua kuwaepushia polisi mitego ya kimapenzi

IDARA ya Polisi katika Kaunti ya Lamu, imechukua hatua kuepusha visa ambapo maafisa huhadaiwa na wanawake ambao huwashawishi kuwapa kiasi kikubwa cha fedha kabla ya kuwatenga. Imebainika kuwa, baadhi ya...

10 hours ago


Tanzania Times General

More than 1000 Rwanda Genocide Fugitives still at large

Initial efforts have already yielded results, and in an important development, 65 genocide fugitives can already be accounted for and their fugitive files closed.

10 hours ago


Taifa Leo News

Kongamano la uchumi wa baharini laanza Ufaransa Macron akiisuta Amerika

NICE, UFARANSA, Juni 9, 2025 MAKALA ya tatu ya Kongamano la Umoja wa Mataifa kuhusu masuala ya baharini limeng'oa nanga jijini Nice, Ufaransa, huku Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron akiikosoa...

11 hours ago


Mwanaspoti Sports

Sikia alichosema Kagoma Simba

UNAKUMBUKA kilichomkuta kiungo mkabaji wa Simba, Yusuf Kagoma katika ile mechi ya pili ya fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane iliyopigwa katika Uwanja wa New Amaan...

11 hours ago


Mwanaspoti Sports

Ripoti yamng’oa beki Yanga

ZILE nyakati za kufanya mambo zimeshafika katika Ligi Kuu Bara, kwani licha ya kwamba msimu bado haujamalizika, lakini timu zimeanza kujiandaa kwa ajili ya msimu ujao zikifanya usajili kimyakimya kusikilizia...

11 hours ago


Tanzania Times General

Is Mount Oldonyo Lengai Volcano about to erupt again?

Using an early-stage volcanic activity alert system, College of Science researchers have detected and tracked a short-lived bulge in the land around an active volcano.

12 hours ago


Taifa Leo News

MAONI: Ufasaha wa Rais Suluhu kuhutubu unaficha maovu yanayoendelea Tanzania

UKIAMBIA Wajerumani kwamba kiongozi wao wa zamani, kachinja Adolf Hitler, aliwaua Wayahudi kwa mamilioni na kuanzisha Vita Vya Pili Vya Dunia wanaruka juu na kudai alikuwa mzaliwa wa Austria. Ukiwaambia...

12 hours ago


Mwanaspoti Sports

TFF: Hakuna atakayesajiliwa bila kupima moyo

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu wa 2025/26 hakuna mchezaji ambaye atasajiliwa kucheza Ligi Kuu Bara au Ligi ya Championship bila kufanyiwa uchunguzi wa afya...

12 hours ago


Mwanaspoti Sports

Sakata la Dabi, Ally Kamwe aibua mambo mapya

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia amesema msimu wa 2025/26 hakuna mchezaji ambaye atasajiliwa kucheza Ligi Kuu Bara au Ligi ya Championship bila kufanyiwa uchunguzi wa afya...

12 hours ago


Load More...

Job Vacancies





Entertainment