May I, with sadness and shame, pen this letter to Kenya as I try to clear the air? I don’t intend to support or oppose, calm and engage but not to enrage. I seek to educate but not to abuse or debase. May I be the voice of reasoning as I pen this open letter.
The award was presented during a high-profile ceremony held on the sidelines of the African Development Bank (AfDB) Annual Meetings in Abidjan, Côte d’Ivoire
KUENDELEA kwa utekaji nyara, kutoweshwa kwa nguvu na mauaji ya kiholela kunatishia makubaliano ya kisiasa kati ya Rais William Ruto na Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga.
Viongozi kutoka upinzani...
LINDI: Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Victoria Mwanziva, amewaahauri vijana wanaotoka wilaya hiyo kuongeza juhudi kwa kila walifanyalo ili kutimiza ndoto zao. DC Mwanziva ametoa nasaha hiyo leo, Juni 10,...
PWANI: Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania (CCM), Mary Chatanda Amewasihi wananchi hususani Wanawake kujitokeza kwa wingi kwenye zoezi la upigaji kura kwenye...
KILIMANJARO: KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema utekelezaji wa Ilani na maendeleo yaliyofanywa na Serikali ya CCM chini ya...
GEITA: UMOJA wa Matawi ya wanachama wa klabu ya Yanga mkoani Geita wamesema wanaunga mkono tamko la Baraza la Wazee wa klabu hiyo walioagiza viongozi wasithubutu kupeleka timu Juni 15,...
NDANI ya wiki chache zijazo, mshambuliaji wa Yanga, Clement Mzize ataweka rekodi mbili kwenye soka la Tanzania endapo dili lake la kucheza nje litakwenda kama lilivyopangwa.
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw António Guterres ametoa mwito kwa mataifa kujitahidi kukabiliana na masuala yanayoathiri afya ya baharini, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya tabianchi, uchafuzi wa...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limepinga madai kuwa linadaiwa na Yanga, fedha za zawadi ya ubingwa ya mashindano ya Kombe la Shieikisho la CRDB msimu uliopita na badala...